zanzibardaima.net
Tumedhamiria kwa dhati kuijenga Z’bar mpya – Karume
Na Salma Said, Zanzibar RAIS Wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume amesema yeye na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad wamesafisha nyoyo …