zanzibardaima.net
*Siasa za Muungano na hatima ya uchumi wa Zanzibar
Kwa miaka yote hii 45 ya Muungano, habari imekuwa ndiyo hiyo. Kwa jina la Tanzania, Tanganyika imeendelea kujizolea kila kilicho cha Zanzibar kukipeleka kwenye Muungano kwa kisingizio cha kuuimaris…