zanzibardaima.net
Muungano unaumwa, lakini tunatibu dalili
NI Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyetuonya: “Afichaye maradhi, kilio kitamuumbua”. Usemi huu una uhusiano muhimu leo na hali ya sasa ya Muungano wetu ulioasisiwa Aprili 26, 196…