zanzibardaima.net
Ukweli mwingi umepotoshwa kuhusu Mapinduzi ya Zanzibar
Na Harith Ghassany Kwanza napenda kukushukuru kwa kuwawekeya sawa wanaukumbi wasiotujuwa kuwa sisi ni marafiki ambao huonana na kuzungumza mara kwa mara. Pia, tunatambuwa kuwa urafiki wetu ni muhim…