zanzibardaima.net
Zanzibar, Tanzania ni nchi: Kikwete kaeleweka?
Labda katika hotuba yake ya 21 Agosti 2008 Bungeni, Rais Jakaya Kikwete alikusudia kuumaliza kabisa mjadala wa ikiwa Zanzibar ni nchi au la, lakini kama ambavyo amekuwa akifeli katika mambo mengine…