zanzibardaima.net
Zilizopo ni Serikali Tatu
“Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni mrithi halali wa Serikali ya Jamhuri ya Zanzibar, ambayo mwaka 1964 ilitia saini Mkataba, yaani, Makubaliano ya Muungano. Mshiriki mwengine wa mkataba huu ni S…