zanzibardaima.net
Watawala na raia ni kama lila na fila
BAINA yetu, watawaliwa, na watawala wetu, pana kizingiti cha kimawasiliano. Si sisi raia wala wao viongozi wetu wenye uwezo wa kuingia katika akili na kuisoma fikra ya mwenzake. Na kwa hivyo hawatu…