zanzibardaima.net
Kweli SAFINA itatweka?
WAKATI Dira ilipoanza kuuzungumzia ujio wa SAFINA, kuna waliodhani kuwa huo ulikuwa uzushi. ‘Mafundi’ wenyewe wa SAFINA walipojitokeza kutangaza kuwa wamo kazini kuiunda, wakaonekana wanatania tu. …