zanzibardaima.net
Hatujaila keki yetu wala hatunayo!
NIMETUMIWA ujumbe katika simu ya mkononi usemao: “you can not eat your cake and have it, soma e-mail.” Nilipofungua akaunti yangu ya barua-pepe, nikakuta ufafanuzi wa ujumbe huo. Kumbe …