zanzibardaima.net
Kheri ya Ruhani kuliko Subiani
MOJA ya njia zetu za kufundishiana, sisi Waswahili, ni kutumia visasili. Visasili ni matukio ya kibunifu na ya kizamani yanayooanishwa na sababu au asili ya jambo, kitu au hali Fulani. Tuna, kwa mf…