tanemb.se
SIKU YA KISWAHILI 12 OKTOBA 2019, STOCKHOLM
Mh. Willibrod Slaa, Balozi wa Tanzania Nchi za Nordic na Baltic, anapenda kuwakaribisha Diaspora wa Tanzania, familia na marafiki zao popote walipo katika sherehe ya Siku ya Kiswahili tarehe 12 Oktoba 2019 hapa Stockholm.