muhabarishaji.com
Naibu Waziri Kanyasu, Wakuu wa Wilaya Nane watembelea hifadhi ya Burigi Chato | MUHABARISHAJI
Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza mkakati wa kuwatumia Wakuu wa wilaya nchini kuhamasisha utalii wa ndani. Advertisements Kufuatia hali hiyo Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu aliongozana na Wakuu wa wilaya nane kutoka wilaya mbalimbali nchini kwa ajili ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya BurigiChato iliyopo mkoani Kagera ili waweze kutambua fursa …