muhabarishaji.com
Mwenyekiti UVCCM ang'olewa madarakani kwa kudanganya umri | MUHABARISHAJI
Aliyekua Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Mtwara, Aziz Mrope amevuliwa nafasi hiyo pamoja na kufutiwa uanachama wa umoja huo baada ya kubainika kuwa amedanganya umri. Uamuzi wa kumvua madaraka umetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James baada ya mkutano wa umoja huo kupitisha maamuzi hayo jijini Dodoma. Bw.James akizungumza na waandishi …