muhabarishaji.com
Manara afunguka baada ya Simba kutoka suluhu na Tanzania Prisons | MUHABARISHAJI
Baada ya timu ya Tanzania Prisons kuendeleza rekodi yake ya kutopoteza mchezo wowote msimu huu huku Simba wakipata sare yao ya kwanza. Haji Manara ameamua kumsifia kocha wa timu hiyo kwa kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagramu maneno yafuatayo; Kongole Mohammed Rishard Adoph umetuweza, ww ni Kocha mzuri sana na kiukweli mbinu zako za leo …