ajiranakazi.com
Nafasi za Kazi kufanya usafi Serengeti Sopa Lodge on Ajira na Kazi East Africa
Nafasi za kazi: Usafi wa kwenye lodge Idadi ya nafasi: 2 Uhitaji: Haraka Hoteli: Serengeti Sopa Lodge Kama unapenda kufanya kazi na kuishi porini changamkia nafasi hizi. Mshahara ni mzuri na malazi yanatolewa bure Wasiliana Serengeti Sopa Lodge Offer Status: Closed