teknolojia.co.tz
Mabadiliko yanafanyika Netflix, sasa 'episodes' kuachiwa wiki kwa wiki
Mabadiliko yanafanyika kwenye huduma namba moja ya kuangalia filamu na tamthilia mtandaoni, Netflix. Kuanzia Oktoba Netflix wataanza kuachia baadhi ya show zake
Mhariri Mkuu