tambua.africa
NJIA MWAFAKA ZA KUACHANA NA MPENZI WAKO
Mdau wetu ameainisha njia zifuatazo kuwasaidia wadau kumaliza mahusiano na wenzi wao kwa amani 1. Kuwa na Uhakika na unachotaka kufanya: Kama huna uhakika juu ya hisia zako kwa mwenzi wako unapotaka