safesisters.net
Safe Sisters mwongozo wa Kiswahili
Tumeandika kitabu hiki kiweze kuwasaidia wasichana waweze kusoma juu ya matatizo ambayo wanaweza kukutana nayo katika wavuti (kama picha kuvuja au kuibiwa, virusi, na ulaghai) jinsi tunavyoweza kufanya maamuzi sahihi kila siku ili kujilinda wenyewe na kufanya wavuti iwe mahali salama kwa ajili yetu wenyewe, familia