p.dw.com
Sudan Kusini yaomba msaada kwa Tanzania | DW | 11.06.2019
Serikali ya Sudan Kusini imeiomba Tanzania kufanikisha makubaliano ya amani yaliyotiwa saini kati ya pande zinazohasimiana hasa wakati huu ambapo taifa hilo likijipambanua upya kwa kusaka fursa za kiuchumi katika eneo la Afrika mashariki.
Deutsche Welle (www.dw.com)