monfinance.wordpress.com
MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI FEBRUARI, 2016 WAPUNGUA KWA ASILIMIA 1
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei katika Februari mwaka huu umepungua mpaka kufikia asilimia 5.6 kutoka asilimia 6.5 ya mwezi Januari. Akizungumza katika mkutano na waandishi w…