manenomatamu.wordpress.com
Mwanablogu Christian Bwaya: “Kiswahili ni alama ya Uafrika wangu.”
Tunazungumza na mgeni wetu Christian Bwaya. Anatuongelesha kuhusu blogu za Kiswahili na anatoa wito kwa Waafrika kujielewa na kuthamni utamaduni wao.