literatureafrica.wordpress.com
Riwaya ya Heri Subira – Omar Babu ( Abu Marjan)
Riwaya ya Heri Subira ina uzuri wa kipekee ambao utaipa nafasi nzuri ya kushindana na `Siku Njema’ ambayo inasifika kwa kiwango chake cha juu cha usanifu wa lugha, matumizi ya mbinu tele za u…