jaladaafrica.org
“Somo la Chumvi na Asali” na Mohamed Yunus Rafiq
Baba mmoja aliyekuwa na mvi mithili ya majivu ya mti wa mpingo na ngozi iliyokunjamana kama majani ya iliki, aliamua kununua mbuzi katika gulio ili aweze kuwafundisha wanae waliokuwa mabarobaro. Bu…