jaladaafrica.org
“Kumwasha Babu Moto” Na Neema Komba
Ana, kwa nini umejiunguza? Sista Clara, muuguzi mkuu wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mt. Maria aliniuliza huku matron wengine wawili wakiwa wameifunga mikono na miguu yangu kitandani. “Babu a…