edembac.wordpress.com
Si jana tu
Japo si jana tu Bado ungali akilini Mgongoni na rohoni Tamu ilikuwa ingawa fupi mno Wazimu wanipata Kila siku na mashaka Kwa kukufikiri wewe! Nabaki nikishangaa nikijiuliza, Tulipotelea wapi?