edembac.wordpress.com
Chakaramu
Kuna watu wanaonunua heshima kwa roho zao. Baadhi kwa fedha na utajiri wao. Wachache kwa yote mawili. Wengi huuza heshima zao kwa fedha! Na wengi zaidi, heshima zao huuzwa bila ya wao wenyewe kutam…