baadaesana.wordpress.com
APPLE KUINUNUA KAMPUNI YA DR DRE ‘BEATS ELECTRONICS’ KWA DOLA BILIONI 3.2!
Dr. Dre yupo njiani kuwa rapper wa kwanza BILLIONAIRE pale kampuni ya Apple itakapoinunua kampuni yake yake Beats Electronics. Kwa mujibu wa TMZ, Apple inadaiwa itainunua Beats kwa gharama ya $ 3.2…