baadaesana.wordpress.com
Baada ya adhabu ya boss mbaguzi, Diddy atainunua L.A Clippers?
Baada ya kuonekana uwezekano wa timu ya L.A Clippers kuuzwa ili mmiliki wa sasa asijihusishe nayo tena baada ya kupewa adhabu ya kutoisogelea maishani, P.Diddy ameandika tweet ambayo kila mmoja ame…