africangospellyrics.com
Ugali Sosa Lyrics by Man Ingwe
Chorus: Natafuta ufalme wa Mungu na utakatifu wake Na vitu vyote vile vizuri, nitaongezewa kama ugali sosa Huwezi pewa ugali sosa kama bado hujanunua Basi mwenzangu mtafute Mungu, utaongezewa ugali…