abiblegirl.com
Jinsi ya Kusamehe - Eunice Tossy
Reading Time: 3 minutes Kusamehe kwa wengine kuna kuja kiurahisi na kwa wengine kunachukua muda. Kwa ambao kunachukua muda haina maana wao ndio wabaya au wagumu kusamehe, ila kila mtu anachukua muda wake kutokana na vile yeye alivyo. Hizi hapa ni namna ambazo zimenisaidia mimi kusamehe.