dfm.co.tz
Uhalisia wa Maisha ya Muziki wa Injili - Deep FM Radio Station
Msanii yeyote katika jamii anasimama kama kioo cha jamii husika. Haijalishi ni msanii wa tasnia gani iwe muziki wa Injili, sinema na hata fani nyingine.