alphaigogo.com
Wonder woman! - alphaigogo.com
Ngoja niseme kitu ambacho huwenda wengine wanakiona lakini hawajasema hadharani. Katika viwanda vya habari na burudani kwa muda mrefu sana vimetawaliwa na wanaume, nafikiri sasa ni wakati muafaka wa wanawake wa Tanzania kuendesha hii industry! Katika wanaume wote hawa ambao wanashikilia hii industry marehemu Ruge Mutahaba ndio alikuwa anaakili ya kuogopesha wengi! He was the … Continue reading Wonder woman! →