alphaigogo.com
William Ernest Mjee Oucho: Ndoto yangu ya kua Engineer - alphaigogo.com
Napenda nishee na nyie story ya safari yangu ya kutafuta kuwa muhandisi tangu nimekua na mpaka sasa nilipofika. Twende sambamba utajifunza kitu hapa. Mwaka 1993, Jumatano moja ya tarehe 09 mwezi wa Sita, mama angu alinizaa na kunileta duniani, na kunibarikia jina la William, ambaye alikua ni marehem baba yangu mkubwa. Nikaishi na wazazi wangu … Continue reading William Ernest Mjee Oucho: Ndoto yangu ya kua Engineer →