alphaigogo.com
"WAISLAMU_NA_WAKRISTO SOTE TU TAIFA MOJA IMARA" - alphaigogo.com
#WAISLAMU_NA_WAKRISTO SOTE TU TAIFA MOJA IMARASiku tukianza kukumbatia tofauti zetu za kidini (ukristo na uislamu) ni sawa na kujichimbia kaburi la pamoja (mass grave) mchana kweupeeee kabisa. Ukumbukwe tu ya kuwa si kitendo cha wakristo kuwatenga waislamu ndicho kitaweza kutuhakikishia maboresho katika mfumo wetu wa elimu ambao watoto wa dini hii kuu mbili wanapaswa kunufaika … Continue reading “WAISLAMU_NA_WAKRISTO SOTE TU TAIFA MOJA IMARA” →