alphaigogo.com
Utegi street! - alphaigogo.com
Nimetumiwa picha hii leo ikionyesha kibao cha mtaa wa kuingia nyumbani kwa mama yangu ikiwa na jina la kijiji alipozaliwa baba yangu ambacho kinaitwa UTEGI. Sina huwakika ni serikali za mitaa au wilaya / mkoa ndio unatoa majina ya mitaa ila mimi nimefurahi kwani huku Marekani vitu kama hivi huwa ni big deal sana! Nimefurahije … Continue reading Utegi street! →