alphaigogo.com
"Unakichaa mimi nakuita mwendawazimu"! - alphaigogo.com
Hicho kichwa cha ujumbe / somo la leo nimetoa kwenye ule wimbo wa ‘Yamoto Band’ lakini sipo hapa leo kuzungumzia huo wimbo wala band. Nimeyachukua tu kwasababu yameendana na ujumbe wangu! Unasema humpendi mtu fulani (labda tuchukulie Zari, the Bosslady) lakini anafungua FEKI AKAUNTI ya social media kila siku haipiti hata masaa sita bila wewe … Continue reading “Unakichaa mimi nakuita mwendawazimu”! →