alphaigogo.com
"Ukiomba mvua lazima ukubali kukutana na tope"-Isador Cakes - alphaigogo.com
“Ukiomba mvua lazima ukubali kukutana na tope pia, hiyo ni sehemu ya mvua. Jana imepita hakuna ajuaye kesho, kitu pekee ulichonacho ni SASA ishi kutumia sasa kwasababu huna uhakika na kesho. Stay present.” Nimeupenda sana huo ujumbe toka kwa mjasilia mali na Mwalimu Vumilia Sassi. Ujumbe unamaneno mepesi sana lakini maana yake ni nzito! Wengi … Continue reading “Ukiomba mvua lazima ukubali kukutana na tope”-Isador Cakes →