alphaigogo.com
Simulizi za maisha ya mzee O.O Igogo kwa maneno yake mwenyewe! - alphaigogo.com
Za asubuhi marafiki wapendwa. Natumai soote tumeamka salama na hao wadogo wasiyoweza kuwasiliana kwenye group. Jana ilikuwa siku yangu ya kumbukizi ya mambo ya ujanani, kama alivyosema Mama ni kweli niliwahi kushiriki kanywaji kati ya mwaka 1972 hadi 1979. Nilishuhudia matukio mengi ya kuchekesha na kuhuzunisha ndani ya kipindi hicho. Nakubaliana fika na Rais Mstaafu … Continue reading Simulizi za maisha ya mzee O.O Igogo kwa maneno yake mwenyewe! →