alphaigogo.com
Safari ya mama Washington DC - alphaigogo.com
Siku ya tarehe 13 mwezi huu wa Tano, mimi na mama yangu tulisafiri kidogo kwenda mji mmoja unaitwa Washington DC. Huu mji ni makao makuu ya U.S.A hivyo nilikuwa nakwenda kumuonyesha mama Makao Makuu ya Marekani na pia kwa kuwa ilikuwa ni siku ya wakina mama duniani hivyo ikawa pia kama sehemu ya Mother's Day … Continue reading Safari ya mama Washington DC →