alphaigogo.com
nilizoea kuisikia sauti yako tu Maria ikinifariji, lakini sasa kuna sauti nyingine imeongezeka itakayoniambia "DADDY, YOU CAN DO IT" - alphaigogo.com
@Regran_ed from @baba_keagan – Siku ya leo nimetimiza miaka saba ya ndoa yangu, lakini nikitizama njia tuliyopita bado nawaza tumewezaje kufika na ndipo ninapomrudishia MUNGU utukufu. Pamoja na uhai tuliopatiwa, naamini MTOTO ni moja ya zawadi kubwa ambayo wanandoa huitegemea na kumlilia MUNGU usiku na mchana waipate, leo ninayo furaha kubwa kusherehekea nikiwa na mtoto … Continue reading nilizoea kuisikia sauti yako tu Maria ikinifariji, lakini sasa kuna sauti nyingine imeongezeka itakayoniambia “DADDY, YOU CAN DO IT” →