alphaigogo.com
"Ndugu zangu Watanzania.......!" - alphaigogo.com
#regrann Regrann from @queenelizabethtanzania - Ndugu zangu Watanzania, sidhani kama nitakuwa na maneno ya kuisha kuelezea shukrani zangu za hali ya juu, amani , furaha na nderemo. Kuanzia taji la Miss Kinondoni (Asante sana waandaaji na wadhamini), Miss Marcelina Dar es Salaam zone (Asante sana waandaaji na wadhamini) mpaka kufikia taji la juu kabisa la … Continue reading “Ndugu zangu Watanzania…….!” →