alphaigogo.com
Nawatakieni kheri katika kufunga mwaka na neema za mwaka mpya! - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, ndugu jamaa, na marafiki, katika haya masaa machache yaliyobakia kumaliza mwaka huu wa 2017 napenda kuwatakia kheri katika kufunga mwaka na pia nawaombea neema na baraka zote za mwaka mpya ziwashukie na kukaa nanyi siku zote! Blog hii nili register rasmi tarehe 15th Dec, 2015 hivyo mpaka sasa ninakuwa nimetimiza miaka miwili … Continue reading Nawatakieni kheri katika kufunga mwaka na neema za mwaka mpya! →