alphaigogo.com
Mzaha, mzaha, hutumbua usaha! - alphaigogo.com
Katika maisha kuna vitu vya kufanyia mzaha na vingine usijaribu hata siku moja! Kitu chochote kinacho husisha HISIA za mtu usifanyie mzaha hata siku moja! Kumbuka hisia za mtu ndizo zinazomfanya huyo mtu kuwa mtu, sasa kuzichezea hisia za mtu kwanza ni unyanyasaji wa hali ya juu, pili unaweza kuleta madhara makubwa sana kwa muhusika … Continue reading Mzaha, mzaha, hutumbua usaha! →