alphaigogo.com
Mwanamke ni mtu shujaa, mwenye hekima nyingi, na muerevu sana! - alphaigogo.com
Embu leo tuongelee hichi kiumbe ambacho Mungu alikiumba baada ya kuumba kila kitu! Mungu aliumba vyote lakini akaona kuna mapungufu mahala yani kwa lugha zingine naweza sema hakuridhika na kazi yake ya uumbaji mpaka alipo muumba mwanamke akaona vyote ni mema sana na uumbaji wake ukaishia hapo! Labda niseme kwa siku ya leo nia yangu … Continue reading Mwanamke ni mtu shujaa, mwenye hekima nyingi, na muerevu sana! →