alphaigogo.com
Mungu azidi kuwa nanyi, soon to be Mr and Mrs Majizzo! - alphaigogo.com
Hayo 👆 ni maneno yake kaka yangu RC Paul Makonda! Wow! Hongereni wote maharusi watarajiwa lakini zaidi hongera sana Lulu! Jamani! Jamani! Binadamu watakesha wakitaka kukuangusha lakini Mungu atakapoamua kukuinua hakuna anayeweza simama mbele yako! Jinsi watu alivyokuwa wakikucheka kuwa unamkosi leo hii the same people wapo busy kukupongeza! Dah! Watanzania Mungu atusaidie. Hivi kama haya … Continue reading Mungu azidi kuwa nanyi, soon to be Mr and Mrs Majizzo! →