alphaigogo.com
Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu....... ! - alphaigogo.com
Kuna watu wanajifanyaga kuwa wao wanajua jinsi ya kufanya maamuzi mazuri kuliko wenzao, wako wepesi sana kusema matatizo ya watu na kuhukumu wengine kwa maamuzi wanayo fanya! Sasa ikatokea maamuzi uliyofanya hayakuzaa matunda mazuri mbona utakoma! Lakini ikiwa yeye ndio kafanya maamuzi ambayo siyo sahihi atatafuta kila njia ya Ku justify hayo makosa na … Continue reading Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu……. ! →