alphaigogo.com
Matukio katika picha: Peter and Janet baby shower - alphaigogo.com
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kumpongeza Janet kwa mbaraka huu mkubwa ambao Mwenyezi Mungu amemjalia. Hongera sana Janet Mungu azidi kuwa nawe ujifungue salama, I'm super happy for you. Najua Shiro hatokua mtoto wako wa kwanza lakini I can only imagine how happy you are kwani watoto wakike ni mibaraka mikubwa sana katika hii dunia … Continue reading Matukio katika picha: Peter and Janet baby shower →