alphaigogo.com
Magreth Nyasungu's pre wedding photos moment - alphaigogo.com
Magreth, bibi harusi mtarajiwa siku ya tarehe 27 December, 2018 alipiga picha za kumbu kumbu akiwa na ndugu zake pamoja na marafiki zake wa karibu. Magreth akiwa na dada yake Mrs Nyagilo Magreth (pichani juu) anatarajia kufunga ndoa takatifu hivi karibuni, tunamuombea Mwenyezi Mungu awatangulie katika safari yao. Kwa picha zaidi tembelea Rhevanstudio.com Tweet Share … Continue reading Magreth Nyasungu’s pre wedding photos moment →