alphaigogo.com
Kwenye hili la Makonda na 'watelekezwa'.......! - alphaigogo.com
Regrann from @mutwiba - MJADALA Kwa wale wenye uelewa wa maswali yajayo naomba tusaidiane kuyatafakari na naamini tutapata majibu ama maswali zaidi yatakayohitaji ama kuleta majibu zaidi. Kwenye hili la Makonda na 'watelekezwa' nimejiuliza baadhi ya maswali. Na kwa kuwa penye wengi haliharibiki neno, wacha niulize hapa ili ukiweza jibu lolote kati ya maswali haya. MJADALA … Continue reading Kwenye hili la Makonda na ‘watelekezwa’…….! →