alphaigogo.com
Kunawakati utafika itabidi uwe mwenyewe...! - alphaigogo.com
Je, umeshawahi kukutwa na hali kama hii? Hali ya kujishusha zaidi ya mtoto ili tu uweze kuwa na mtu au watu fulani katika maisha yako? Hali ya kujishusha thamani yako na saa nyingine kupoteza utu wako ili tu fulani au kundi fulani likupende? (comprising your morals and values, loosing who you are for the sake … Continue reading Kunawakati utafika itabidi uwe mwenyewe…! →